Friday, November 20, 2015

HAFLA YA KUZALIWA YA MWANALIBENEKE YUSKISS KISIBA YAFANA JIJINI MWANZA.

Anaitwa Yusuph Kisiba a.k.a Yuskiss Kisiba (Katikati) ambae ni Blogger @Lake Zone Media & Kisibasharesky Media, Graphics Desiner & Video Editor @Shafineyz Film Production Jijini Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Jana Novemba 09,2015 alikuwa akitimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake hivyo aliweza kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wasanii wa maigizo chini ya Shafineyz Film Production pamoja na wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Jijini Mwanza kwa ajili ya kufurahia pamoja siku hiyo katika sherehe iliyofanyika Lunala Hotel.
Pichani Juu ni Yuskiss akilishwa Keki na dada yake aitwae Sharifa Masoud Kisiba
Yuskiss Kisiba akimlisha keki dada yake
Yuskiss akimlisha Keki Mkurugenzi wa Shafineyz Film Production, Shafii Abdallah Tinde
Yuskiss akimlisha Keki Mkurugenzi Msaidizi wa Shafineyz Film Production, Yusuph Kapama
Yuskiss akimlisha keki GB Pazzo @BMG
Sharifa Masoud Kisiba, dada yake na Yuskiss akimlisha keki Mkurugenzi wa Shafineyz Film Production, Shafii Abdallah Tinde
Mgeni wa Heshima, Nashon Kenedy ambae  ni mwandishi wa habari (Kushoto) wakilishana keki na Yuskiss (Kulia)
Yuskiss akimlisha keki best yake wa karibu aitwae Anko John
Yuskiss akimlisha keki Jaffary Idrissa, mwalimu wa film Shafineyz
Yuskiss akiwalisha keki wadogo zake
Yuskiss akimlisha keki Msanii T-Nock Melody
Pongezi kutoka kwa mgeni wa heshima
Marafiki wakimpongeza Yuskiss kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake
Mkurugenzi wa Shafineyz Film Production, Shafii Abdallah Tinde akimpongeza Yuskiss
Happy Birth Day Yuskiss
Mkurugenzi Msaidizi wa Shafineyz Film Production, Yusuph Kapama akimpongeza Yuskiss
Happy Birth Day Yuskiss
Happy Birth Day Yuskiss
Issa Dody, Team J2me Brathers akimpongeza Yuskiss
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba (Katikati)
Happy Birth Day Yuskiss
Happy Birth Day Yuskiss
Cheersssssssssssss
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Happy Birth Day Yuskiss Kisiba
Bonyeza HAPA Kusoma Ujumbe wa Yuskiss

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More