Thursday, November 23, 2017

VIDEO:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KESHO KUWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA YA SIKU TATU

Waziri mkuu  Mh.KASSIM MJALIWA kesho anatarajia kuwasili mkoa RUVUMA majira ya saa saba mchna kwa ziara ya siku tatu ambapo ataanzia katika wilaya ya NAMTUMBO  pamoja na TUNDURU hayo yamesemawa na mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINE MNDEME wakati akizungumza na waandishi wa habari habari kamili hii hapa video yake

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More