Sunday, November 26, 2017

CCM MANISPAA YA IRINGA YAFUNGA KAMPENI ZA KITWIRU KWA KISHINDO KIKUBWA

 Baadhi ya wananchi na wafuasi wa chama cha mapinduzi CCM manispaa ya Iringa waliojitokeza kusikiliza Sera za chama hicho

Na Fredy Mgunda, Iringa.

Chama cha mapinduzi CCM manispaa ya Iringa kimemaliza kampeni zake za kumnadi mgombea wake Baraka Kimata kwa kishindo kikubwa kutokana na kushudiaa na wadau na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamejitokeza kwa wingi.

Viongozi mbalimbali waliopanda jukwaani kumnadi mgombea Udiwani wa kata ya Kitwiru wanaamini kuwa Baraka Kimata atashinda kwa ushindi mkubwa hivyo wamewasii wapiga kura kuwahi kufika katika vituo vya kupigia kura.

Walisikika wakisema kuwa katika uchaguzi huu mdogo wa udiwani wa kata ya Kitwiru hakuna mgombea mwenye vigezo zaidi ya Baraka Kimata hivyo waliwaomba wananchi kumpigia kura nyingi mgombea huyo wa chama cha mapinduzi

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More