
Friday, November 03, 2017

mwangaza wa hbari
No comments
 |
| Mwenyekiti
wa kitongoji cha Mwabalogi Kijiji cha Kifufu ambaye ambaye ametengwa na wananchi kutokana na kugoma kulipa faini ya shilingi laki sita. |
 |
| Diwani
wa kata ya Bugalama , Luponya Masalu akiwasisitiza wananchi kuishi kwa amani na kusameheana makosa yao ili kuruhusu maendeleo kwenye Kijiji cha Kifufu. |
 |
| Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Diwani wakati alipokuwa akihutubia hadhara hiyo. |
 |
| Wakina Mama wakifuatilia Mkutano huo. |
 |
| Meza kuu ikiongozwa na Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa kikao hicho. |
|
Wananchi wa Kiji
...
0 comments:
Post a Comment