Tuesday, December 5, 2017

VIDEO:RC RUVUMA AWAONYA WATUMISHI WA HALIMASHAURI YA MBINGA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINE MNDEME amewataka watumishi kuvaa uzalendo wa nchi ilimkuweza kujenga uchumi wa kati wa viwanda , ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa Halimashauri ya wilaya ya MBINGA wakati wa ziara yake.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More