Monday, December 18, 2017

STORM FM YAHAIDI MAKUBWA ZAIDI KUFANYA MWAKA 2018

Baadhi ya wafanyakazi wa Storm fm wakiwa kwenye sherehe ya pamoja ya kufunga mwaka .

G-touch produce wa Storm fm akiwafanya yake wakati wa sherehee hizo.

Moja kati ya Watangazaji wa Storm fm,Lizzy Nana akisherekea kutimiza miaka kadhaa wakati wa sherehe za kufunga mwaka.

Lizzy Nana akikata Keki kuashiria  upendo na miaka ya kuzaliwa.


Idrisa Salum Mwana Kwetu pamoja na Seif Omary Upupu wakijitambulisha kwa wasikilizaji ambao walifika kwenye sherehe hiyo.

Timos Mayunga ambaye ni msikilizaji wa storm fm akimlisha Keki mtangazaji wa kipindi cha Jamii center ambacho uwa kila luka siku ya jumatatu hadi iijumaa.

Lizzy Nana akimrisha Keki Meneja wa Storm fm Modesta Mselewa.

Lizzy Nana akimrisha Keki Program meneja wa Storm fm Mkisi Junior. 

Lizzy Nana akimrisha Keki Bi,Mariam Lutemagula ambaye ni moja kati ya wadau wa Storm fm.

Maji ni sehemu ya sherehe kwa mtu ambaye anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa KivT Mtoto wa Babu akifanya yake.

Idrissa Salum akionesha cheti ambacho alipatiwa kutokana na  kipindi ambacho wanakiongoza kuibuka kuwa kipindi kizuri kwa mwaka huu.

Paul Wiliam akipokea Cheti baada ya kuibuka kuwa mfanyakazi bora kwa mwaka 2017

Program Meneja wa Storm fm Mkisi Junior  akiwashukuru wageni pamoja na wafanyakazi wa storm ambao walifika kwenye sherehe hizo za funga mwaka.

Meneja wa Storm fm,Modesta Mselewa akitoa nasaha  kwa wafanyakazi wa Storm fm.
Wafanyakazi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa 88.9 Storm fm.

PICHA ZOTE NA JOEL MADUKA.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More