Tuesday, December 5, 2017

VIDEO:NAIBU WAZIRI WA MAJI AMEAMURU KUKAMATWA KWA MAKANDAR WILAYANI TUNDURU

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameagiza kukamatwa kwa mkanadarasi anayeitwa COSMAS ENGEERING kwa kushindwa kukamilisha maradi wa maji katika katika kijiji cha MILONDE wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA  huku akidawa kulipwa kiasi cha shilingi million 500, amri hiyo ameitoa baada ya mkandarasi huyo kukimbilia kusikojulikana naibu.habari kamili hii hapa video yake
 

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More