Tuesday, December 12, 2017

RC RUVUMA AMELITKA SHIRIKA LA UMEME MKOA WA RUVUMA KUTOWAFUMBIA MACHO WADAIWA SUGU.

Mkuu mkoa wa Ruvuma CHRISTINE MNDEME  amelitaka shirika la umeme mkoa wa ruvuma kutowa fumbia macho wadaiwa sugu wa  umeme kwani kufanya hivyo nikuitia hasara serikali kwani hizo ni pesa ni kodi za wananchi hivyo hata kama ofisi yake inadawa wanapaswa kukata umemee.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More