Monday, December 18, 2017

VIDEO : LYATA AWATAKA VIJANA ACHENI UONGA PAMBANENI

Diwani wa Kata ya Kwakilosa Joseph Nzala Lyata amewataka vijana wa manispaa ya Iringa kutokana tamaa katika kuhoji vitu vya kimaendeleo kwa ajili ya manufaa yao na vizazi vijavyo,mkiwa mpo tayari kupambana kwa ajili ya maisha basi mnatakiwa kuondoa kabisa uoga katika kupambania kile unachokiaminiu

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More