Monday, December 7, 2015

Rais Magufuli Avunja Bodi ya Bandari na Amsimamisha Kazi Katibu Mkuu Wizara Ya Uchukuzi

Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe (Pichani), Mwenyekiti wa bodi ya bandari pamoja maofisa 8 wa bandari .Ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi
 
Rais  pia  amemsimamisha  kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More