Monday, October 26, 2015

Chumi asherehekea ushindi na wafuasi wake asubuhi hii

 Cosato Chumi Cosato Chumi Mbunge Mteule jimbo la Mafinga mjini akishehekea na wafuasi wake ushindi wa jimbo hilo katika ofisi za chama cha mapiunduzi (ccm) wilaya ya MUFINDI DISTRICT COUNCIL
mapema mda huu saa 11.00


Cosato Chumi Cosato Chumi Mbunge Mteule jimbo la Mafinga mjini akishehekea na wafuasi wake ushindi wa jimbo hilo katika ofisi za chama cha mapiunduzi (ccm) wilaya ya MUFINDI DISTRICT COUNCIL
mapema mda huu saa 11.00
 


Mbunge mteule wa jimbo jipya la mafinga mjini, Cosato daudi chumi, amewaambia wananchi wa jimbo la mafinga Mjini kuwa kesho anaingia kazini kama kawaida kuhamasisha maendeleo ya wananchi wa jimbo hilo, pia amewaasa wananchama wa chama hicho kluwa washerehekee kwa amani na utulivu ili kesho wapate matokeo chanya ya furaha yao. hayo ameyasema punde hii mara baada ya kutangazwa rasmi na Tume ya taifa ya Uchaguzi kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.

katibu wa chama cha mapinduzi (ccm) wilaya ya mufindi amewatumia salamu wanachama wa chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) kuwa wapo makini na kuwa hawatapata nafasi ya kulichukua jimbo hilo kwa kuwa wanakwenda kukifanya ni kazi.


“sisi tunakwenda kufanya kazi hatuna mchezo na mtu na jembe hili chumi ni Mtu wa kazi tuu
hapa tunasubili JEMBE LETU MAGUFULI AAPISHWE TUU ILI TUUONESHE ULIMWENGU KUWA TANZANIA MPYA INAKUJA”



Jimbo la Mafinga Mjini
urais-CCM 19220
Cdm 12834
Act 208

Ubunge-
CCM 18379- 58%
CDM 12834 - 41%
Tume imemtangaza Cosato Daudi chumi kuwa mshindi kwa asilimia 58 kwa jimbo la Mafinga Mjini.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More