Sunday, October 18, 2015

Australia wanahalalisha matumizi ya Bangi? Hiki ndio kinachofatia kwa sasa..

Kuna idadi kubwa ya Majimbo Marekani wao hawana tatizo kabisa na masuala ya Bangi… imehalalishwa na inapatikana Madukani kama bidhaa nyingine za kawaida, sio nchi nyingi ambazo zimekubaliana kuhalalisha Bangi, Tanzania nayo imo.
Australia walianzisha Kampeni mwaka 2013 kuishawishi serikali ibadilishe Sheria ili kuhalalisha matumizi ya Bangi, majibu yaliyopatikana miaka miwili baadaye yani mwaka 2015 ni kwamba zaidi ya watu 246,000 wanahitaji Sheria irekebishwe na Bangi iruhusiwe kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo na wanaohitaji Bangi kama tiba !!
LOS ANGELES, CA - OCTOBER 19: Dave Warden, a bud tender at Private Organic Therapy (P.O.T.), a non-profit co-operative medical marijuana dispensary, displays various types of marijuana available to patients on October 19, 2009 in Los Angeles, California. Attorney General Eric Holder has announced guidelines for federal prosecutors in states where the use of marijuana for medicinal purposes is allowed under state law. Federal prosecutors will no longer trump the state with raids on the southern California dispensaries as they had been doing but Los Angeles County District Attorney Steve Cooley has begun a crackdown campaign that will include raids against the facilities. Cooley maintains that virtually all marijuana dispensaries are in violation of the law because they profit from their product. The city of LA, which had been tolerant of the dispensaries, has been slow to come to agreement on how to regulate them. Some residents are concerned about the locations and high number of marijuana facilities and prosecutors claim that some of the marijuana was grown by illegal marijuana growers. Californians voted to allow sick people with referrals from doctors to consume cannabis with the passage of state ballot Proposition 215 in 1996. A total of 14 states now allow the medicinal use of marijuana. Los Angeles has 800 to 1,000 marijuana dispensaries, the highest density in the nation. (Photo by David McNew/Getty Images)
.
Serikali ya Australia imeamua kulishughulikia hilo, kwa sasa wako kwenye mpango kuruhusu Bangi itumike kwa matumizi ya Matibabu, Sheria iliyopo kwa sasa hairuhusiwi kulima, kutumia au kukutwa na Bangi.. ukikamatwa ni kifungo au faini ambayo inatofautiana kutokana na Kanuni za Jimbo husika.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More