Tuesday, November 14, 2017

MHANDISI METHEW MTIGUMWE AZITAKA TAASISI ZA UTAFITI NCHINI KUWANUFAISHA WAKULIMA KUPITIA TAFITI ZAO


Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya vitendeakazi mara baada ya kutembelea Maabara ya Uchambuzi wa Viuatilifu katika Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya kudhibiti visumbufu katika ukanda wa Tropiki (TPRI) kilichopo Mkoani Arusha.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya mbegu za maharage zilizogunduliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akizungumza na watumishi katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) wakati wa kikao cha kazi.

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mansoor akielezea jambo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe mara baada ya kutembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) Dkt Margaret J. Mollel kukagua maabara ya uchambuzi wa Viuatilifu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya mbegu za maharage zilizogunduliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mansoor akielezea jambo wakati wa kikao cha kazi na Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.


Ukaguzi wa vifaa kazi katika sekta ya kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akipata maelezo ya ufanyaji kazi mara baada ya kutembelea Maabara ya Uchambuzi wa Viuatilifu katika Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya kudhibiti visumbufu katika ukanda wa Tropiki (TPRI) kilichopo Mkoani Arusha.
<!--[if gte mso 9]>

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More