Shirika lisolo la kiserikali ya The Foundation For Civil society linalojihusisha na kujenga uwezo wa asasi za kiraia nchini Tanzania pamoja na Kutoa ruzuku kwa asasi hizo linatimiza miaka kumi na Tano tangu kuannzishwa kwake na kuanza kufanya kazi.
Akizungumza na Mwandishi wa habari hii Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo lenye ofisi zake Jijini Dar es salaam Ndugu Francis Kiwanga alisema kuwa kwa miaka kumi na tano ya uwepo wake nchini wamefanikiwa kufanya kazi na Asasi zisizopungua elfu tano nchini ikiwa ni mafanikio makubwa kwa shirika hilo lililojumuisha asasi tofauti.
Nakupa nafasi ya kumsikiliza mkurugenzi wa shirika hilo akieleza kwa undani,kazi walizozifanya kwamiaka 15,changamoto walizopitia nma mipango ya kuendelea kuihudumia jamii kwa sasa.Katibu---
0 comments:
Post a Comment