Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika kampeni za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mtaa wa Uyole B manispa ya Iringa.
Na Fredy Mgunda,Iringa
WANANCHI wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa wametakakiwa kutomchakugua mgombe wa chama cha mapinduzi CCM bwana Baraka Kimata kwa kuwa ni kigeugeu kwa kuwa hana hoja za kueta maendeleo kwa wananchi wa kata hiyo.
Na Fredy Mgunda,Iringa
WANANCHI wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa wametakakiwa kutomchakugua mgombe wa chama cha mapinduzi CCM bwana Baraka Kimata kwa kuwa ni kigeugeu kwa kuwa hana hoja za kueta maendeleo kwa wananchi wa kata hiyo.
Kimata hafai kuwa kiongozi katika
kata hii kwa ajili amekuwa akiwageuka wananchi kwa ajili ya faida yake na sio
kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa kata ya Kitwiru hivyo hapaswi
kabisa kuchaguliwa.
“CHADEMA imewataka wananchi
wakumbuke kuwa mtu anayekubali kununuliwa ipo siku atakuja kuwauza wananchi wa
kata ya Kitwiru hivyo mnatakiwa kuwa makini siku ya uchaguzi tarehe 26 msimpe kura hata moja.”
Hayo yasemwa wakati wa kuomba kura
kwa wananchi wa mtaa wa Uyole B katika kata ya Kitwiru wakati CHADEMA kimemnadi
mgombea wake udiwani kata ya Kitwiru Iringa Mjini kikisema hana njaa, anawania
nafasi hiyo kwa lengo moja tu la kuwatumikia wananchi wa kata hiyo.
Chademaimemsimamisha Bahati Chengula
katika uchaguzi huo utakaofanyika Novemba 26, mwaka huu na kuongeza kuwa
mgombea wetu hana njaa ya kununulika hivyo huyu ndio mtu sahihi kuwa diwani
katika kata hii.
“Huyu ni mgombea mwenye dhamira ya
dhati ya kuwapigania wananchi wa kata hii, hajaja kutafuta fedha,” alisema
Kamanda Mbuma wakati akimpigia debe katika mtaa wa Uyole B.
Aidha chama hicho kimesema hakisombi
watu kwa ajili ya kwenda kwenye mikutano yake inayoendelea katika mitaa
mbalimbali ya kata hiyo kwakuwa kinataka ujumbe wake ufike kwa wapiga kura
halisi.
0 comments:
Post a Comment