Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Tulia Aksoni ameendesha arambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoaani Ruvuma kwa ajili ya kujenga hodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji,pia naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi wa mbio hizo habari kamili hii hapa video yake.
0 comments:
Post a Comment