Saturday, February 3, 2018

VIDEO:RC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSIMAMIA VYEMA MAADILI YA WAUMINI WAO

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka viongozi wa dini mkoa humo kusimamia vyema maadili ,unywaji pombe uliokithiri pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya
 amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa dini katika ikulu ndogo mjini songea habari kamili hii hapa video yake

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More