Monday, February 26, 2018

MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA RUVUMA MH JACQUELINE NGONYANI MSONGOZI AWAPIGA TAFU WAKULIMA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mh.Jacqueline Ngonyani Msongozi ametoa mkopo wa Mbolea kwa vikundi vya akinamama na Vijana vipatavyo 75 vyenye wanachama wapatao 1030 mkoani Ruvuma. Mkopo wa Mbolea wenye masharti nafuu tani 151.05 zenye thamani ya TZS 129,124,500 . 

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More