Friday, March 31, 2017

MADHIMISHO YA UPANDAJI MITI KUADHIMISHWA HAPO KESHO

Na MZIDALFA ZAID(ARUSHA) Ikiwa kesho inaadhimishwa siku ya upandaji miti kitaifa ambapo maadhimisho hayo yanadhimishwa kimkoa na kiwilaya wananchi mkoani rusha wametakiwa kushiliki zoezi hilo ili kuboresha mistu kwenye mazingira.  Akizungumzia siku hiyo afisa maliasili katika alimashauli ya meru Benadi saluni amesema kuwa kutakuwepo na vikundi zaidi ya 20 ambavyo vitakuwa vinaonyesha ujuzi wao nmna ya kutengeneza miche ya miti. Hata hivyo amebainisha changamoto zinazowakabili idara ya mistu kuwa ni wananchi kutojua umuhim wa kupanda mistu. Kwa upande wake wakala wa mistu yusuph kajia wakala wa huduma za katika maadhimisho hayo wananchi wengi wamekuwa hawayatambui hivyo amewataka wananchi kujitokeza...

HIVI UNAJUA KWAMBA SIMU YAKO INAWEZA KUKUPUNGUZIA UFANISI KAZINI?

Na Jumia Travel Tanzania Inawezekana wewe ni miongoni wa watu wasioweza kustahimili kukaa mbali na simu hata kwa dakika moja. Ni suala gumu sana kwa wengi wetu kuweza kuitelekeza simu na kufanya shughuli nyingine kama vile tukiwa ofisini. Lakini je ushawahi kujiuliza kuna madhara gani kwa kuiendekeza tabia hiyo? &nbs...

DC MUHEZA:AHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA MASOMO YA SAYANSI KWA BIDII WILAYANI MUHEZA

Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akitubia wananchi wa wilaya ya Muheza na wadau wa elimu  katika maadhimisho ya ya Juma la Elimu wilayani Muheza kushoto ni Kaimu Afisa Elimu Msingi wilayani Muheza,Stuart Kuziwa Kaimu Afisa Elimu Msingi wilayani Muheza,Stuart Kuziwa akizungumza katika maadhimisho hayo ambayo yalifanyika kwenye viwanja vya Jitegemee wilayani humo Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akimsikiliza kwa umakini Kaimu Afisa Elimu Msingi wilaya ya Muheza,Stuart Kuziwa kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,Dkt Paul Kisaka Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,Dkt Paul Kisaka akizungumza wakati wa maadhimisho hayo kushoto...

UZALISHAI wa mbegu bora za mazao mbalimbali ya kilimo nchini bado ni changamoto

NA MZIDALAFA ZAID(ARUSHA) UZALISHAI wa mbegu bora za mazao mbalimbali ya kilimo nchini bado ni changamoto kubwa kutokana na mbegu bora zinazozalishwa kutokukidhi mahitaji ya soko linalotokana na ongezeko la wakulima wanaotumia mbegu hizo kwenye kilimo.  Hayo yameelezwa leo na Meneja wa Shamba la mbegu la serikali, ASA,la mkoa wa Arusha, Zadiel Mrinji, alipokuwa akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi ambao ni wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora kutoka mashamba yote tisa ya serikali yaliyopo kwenye kanda saba nchini,waliotembelea shamba la mbegu bora la serikali la mkoa wa Arusha ,lililopo Ngaramtoni wilayani Arumeru. Mrinji amesema licha ya kuwepo wazalishaji wa mbegu bora kutoka nje uzalishaji mbegu bora...

DC SINGIDA AWEKA ZUIO KWA WANACHI KUTOKA NCHI ZA NJE KUINGIA MASHAMBANI KWA WAKULIMA NA KUNUNUA MAZAO

Na MZIDALFA ZAID,Arusha serikali Wilayani Singida imepiga marufuku wafanyabiashara wa vitunguu kutoka nchi jirani za Kenya,Uganda,Ruanda,Burundi,Zambia, Kongo na Malawi kwenda kununu vitunguu kweneye mashamba ya wakulima vijijini na badala yake amewataka kwenda kununua kwenye soko la kimataifa la vitunguu,lililopo Manispaa ya Singida. zuio lilitolewa na Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Eliasi Tarimo baada ya kupokea malalamiko ya wafanyabiashara kutoka soko la kimataifa la vitunguu, kulalamikia kuwa wafanyabiashara wanaotoka nchi hizo kuwa wanakwenda kununua vitunguu kwenye mashamba ya vijijini na hivyo kusababisha biashara katika soko hilo kudorora huku serikali ikikosa mapato yake. Hata hivyo Bwana Tarimo hakusita kuwaeleza...

MANISPAA YA IRINGA YAWASAINISHA MIKATABA WAKANDARASI WA BARABARA

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akizungumza na waandishi wa habari Mkoani iringa HALIMASHAURI ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa imewasainisha mikataba wakandarasi 14 kwa ajili ya matengenezo ya barabara mbali mbali za mji wa Iringa . Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akizungumza leo kabla ya zoezi la kuwasainisha mikataba hiyo alisema kiasi cha Shilingi bilioni 1,389,455,041.20 kimetengwa kwa ajili ya kazi hiyo . Alisema kuwa halmashauri yake imeendelea kutekeleza miradi mbali mbali ya matengenezo na ujenzi wa barabara kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kupitia fedha za mfuko wa barabara. "Kazi zinazokusudiwa kufanyika ni matengenezo ya muda maalum (Periodic maintenance...

MWAKALEBELA AWAPA USHAURI IRFA JUU YA MGOGORO WA TIMU YA LIPULI

Mwenyekiti Ndugu kuyava Wiki mbili nimekuwa nikifuatilia yaliyokuwa uanajiri ndani ya Lipuli FC napenda kuchukuwa nafasi hii kukupongeza kwanza wewe binafsi na pili kamati yako na ofisi ya RC kwa uamuzi chanya wa kuilea timu ili ifanye vizuri katika jukumu lililopo mbele yako. Pili mwenyekiti nikuombe kwa hekima uliyoifanya jana basi nakuomba ukutane na pande zinazosigana ili kuondoa tofauti zilizopo na watu wawe pamoja. Tatu Mwenyekiti wadau wasoka tukuombe kwa unyeyekevu usimamie zoezi la uchaguzi kwa timu yetu pendwa.kumbuka kwenye mkutano mkuu wa TFf Tanga mwaka jana wewe na mimi tukiwepo Rais wa tff aliagiza lipuli ifanye uchaguzi agenda hii inaweA kujitokeza mwaka huu kwenye yatokanayo ningependa mwenyekiti wangu unajibu kwa mbwembwe...

CHADEMA WAWATUMBUA VIONGOZI WAO

Na Mzidalifa Zaid  Chama cha demokrasia na Maendeleo kanda ya kaskazini kimewavua uongozi Baadhi ya wanachama katika mkutano Mkuu ambao umefanyika mkoani tanga kwa tuhuma mbali mbali ikiwemo ya kupelekea Chama hicho kushindwa Kufanya vizur katika uchaguzi Mkuu ulopita. Katibu Mkuu wa Chadema kanda ya kaskazini Aman gologwa amebainis...

Breaking newz mbunge Ely Macha amefariki

Huyu Mbunge ametutoka Ely Macha wa CDM alikuwa kundi la walemavu -wasioona Taarifa nilizopata kutoka kwa Mh Mbunge Jimbo la Arumeru  Joshua Nasari aliyepo masomoni Uingereza  Ni kuwa Aliyekuwa MBUNGE Viti maalum kundi la( walemavu) Dr Ely Macha amefariki dunia asubuh ya Leo hospital ya WOLVEHAMPTON UK Taratibu zingine zinaendelea ubalozini Uk  Mb Nasari ataendelea kutupa mrejesho . Poleni  Viongozi wote na wanachama na wanachi wa Usariver na Ndugu wa  Marehemu Dr Macha hasa jimbo analotokea Arumeru mashariki Nyumbani kwake Usariver  ,mkoa,Na Taifa zima kwa kuondokewa na kiongozi huyu wa kitaifa ikuwakilisha kundi la (Walemavu) Poleni sana Chadema kiujumla. R.I.p Dr Macha   Imetolewa na ofisi...

Thursday, March 30, 2017

IRFA YAIKOA TIMU YA LIPULI

Chama cha mpira mkoa wa Iringa Waichukua Rasmi timu ya Lipuli Fc kwa ajili ya Maandalizi ya Ligi kuu.-Kuyava(Mwenyekiti IRFA) M wenyekiti huyo ameongea na wanahabari kuhusiana na mwenendo wa timu hiyo.  Kuwa watasimamia timu hiyo ili kuona inafanya vema ligi kuu Tanzanian bara  Pamoja na hilo pia amesema maandalizi ya usajili yameanza kufanyika.  Wakati mwenyekiti wa Lipuli FC Abuu changawa Majeck amepokea kwa mikono miwili uamuzi huo na kuwa anaunga mkono uamuzi uliochukuliwa na chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa.  Japo alisema wapo baadhi ya watu wamekuwa wakichochea migogoro kwa maslahi yao binafsi jambo ambalo analipinga kwa nguvu zote.  Huku...

WANAWAKE WASHIKA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI MASOKONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomu bomu, Muhidin Waziri 'Ndolanga' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto iliyokuwepo katika soko hilo juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo hivi sasa vimedhibitiwa baada ya kupata mafunzo kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Kulia ni Mwezeshaji wa Kisheria wa soko hil...

RC MAKONDA AELEZA UJIO WA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA KESHO MACHI 31, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma.(Picha Zote Na Mathias Canal) Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akisikiliza na kujibu maswali ya waandishi wa habari mapema leo katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa za Jiji La Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda wakati akizungumza na Waandishi wa habari Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda wakati akielezea ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mkurugenzi wa Manispaa...

Wednesday, March 29, 2017

COSATO CHUMI ASAIDIA KUPATIKANA KWA TSH 230M KWA AJILI YA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI KATIKA HOSPITAL YA MJI WA MAFINGA

Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Bi Saada Mwaruka, Mhe Balozi Yoshida, Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi, mstari wa nyuma kutoka kushoto Mhandisi wa Halmashauri Venant Komba, Mganga Mkuu Dr Inocent Mhagama, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mhe Charles Makoga na maafisa wa Ubalozi wa Japan Mara baada ya kusaini Mkataba wa Msaada wa Tsh 220m kwa ajili ya ujenzi wa Chumba cha Upasuaji kwenye Hospitali ya Mafinga Mbunge Cosato Chumi akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Ubalozi Dr Tanaka mara baada ya hafla hiyo Balozi wa Japan Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa Hafla ya kusaini mkataba wa msaada wa tsh 220m kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha upasuaji katika hospital ya Mafinga kufuatia maombi yaliyowasilishwa...

HIVI NANI WAKUTATUA MGOGORO WA TIMU YA LIPULI?

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; ...

Page 1 of 69412345Next
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More