Kanuni
inayozuia lugha ya kuudhi bungeni ni kiinimacho kwani mbunge wa
upinzani akitoa lugha inayokera, mbunge wa CCM ataomba mwongozo kwa
Spika na mara akijibiwa atasimama mbunge wa CCM na kutumia lugha hiyo
hiyo iliyoombewa mwongo...
Na Ripota wa Sufianimafoto ,Dar
UKIHADITHIWA
na kuonyeshwa chumba cha Dereva Tax anayeonekana kitaani na katika kazi
zake akiwa amepiga pamba wala hutaamini masikio yako wala macho yako
pindi utakapopata bahati ya kufika na kushuhudia chumba hicho kilichopo
maeneo ya Gold Star Mtaa wa Mbezi Mtoni Bondeni jijini Dar es Sala...
May 27 2016, aliyekuwa
mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu,
Edward Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa
nchini, Masahau Yoshida....
Mbunge wa jimbo
la Iramba Bw Mwigulu Nchemba akikabidhi vifa vya michezo kwa
vijana jimboni kwake kwa ajili ya kuanza kwa kombe la Mwigulu
jimboni humo...
Jeshi
la Polisi nchini limetoa wito kwa wamiliki wa silahi kujitokeza na
kuhakiki silaha zao katika Wilaya wanazoishi kabla ya kumalizika kwa
zoezi hilo mnamo Juni 30 mwaka h...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika
kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya Sinza - Igesa ambao haukufanyika....
Baada
ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
kueleza Bungeni kuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
alijimilikisha ardhi iliyotolewa kwa wananchi wilayani Monduli mkoani
Arusha na kuahidi kuirejesha, Mwanasiasa huyo amejibu tuhuma hi...
MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi akizindua gari la kubeba wagonjwa (ambulance)
na fredy mgunda,iringa
MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwa
kushirikiana na asasi ya kimataifa ya Rafiki Surgical Mission ya Australia
ametoa msaada wa gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya matumizi ya
hospitali ya wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa iliyopo katika jimbo lake hil...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Rais John Magufuli
kuweka siasa kando na kuomba ushauri kwa waziri mkuu wa zamani, Edward
Lowassa ili kutatua tatizo la kuadimika kwa sukari....
MKUU
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki
zilizokuwa zikitumika kuweka mishahara ya watumishi hewa, kurejesha
fedha hizo serikalini ; au kubainisha waliokuwa wakitumia akaunti hizo,
kuchukua fed...
CCM
imesema kitendo cha Rais John Magufuli kumvua uwaziri Charles Kitwanga
kutokana na kuingia bungeni akiwa amelewa, kimedhihirisha kuwa bado kuna
baadhi ya watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma, lakini
hakitachukua hatua kwa kuwa ameshaadhibi...
Jina la aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema akiungwa mkono na vyama vya upinzani vilivyounda Ukawa, jana liliingia tena katika Bunge la Kumi na Moja na kuzua mvuta...
Kigogo wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Sukwa Said Sukwa amevishauri vyombo vya dola visiwani Zanzibar kumchukuliwa hatua haraka Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kwa kauli yake aliyoihusisha na kosa la uhai...
Serikali imejibu hoja za upinzani kuhusu uuzwaji wa nyumba za Serikali na kutetea ununuzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam ambacho kilitakiwa kufanya safari zake kati ya Dar na Bagamo...
Mwenyekiti wa Bodi ya UTT-PID, Bi. Elpina Mlaki akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Godfrey Zambi wakati wa mkutano huo ambao jumla ya Bilioni 2, za mradi wa viwanja kwa Manispaa ya Lindi ziliweza kupatikana katika mradi wa upimaji viwanj...
Jana Alhamisi, Mei 19,2016 ilikuwa ni siku yenye furaha kubwa kwa Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza ambapo walikuwa wakisherehekea Mahafali yao ya Kuhitimu kidato cha sita....
MBUNGE
wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT-Wazalendo) na wenzake wawili, jana
wamehojiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na
Madaraka ya Bunge, George Mkuchika kwa kufanya fujo bungeni kuhusu suala
la Bunge kutorushwa ‘liv...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Yusufu Hamad Masauni, amesema
Serikali iko katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kubadili matumizi
magari ya polisi ya kuzuia ghasia kwa kurusha maji ya kuwasha maarufu
washawasha yaweze kutumika kuzima moto....
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Jackline Msongozi juzi jioni alinusurika
kipigo kutoka kwa wabunge wanawake wa UKAWA baada ya kuwaeleza kuwa
upande huo una wabunge wawili tu wenye michango ya maana ambao ni Upendo
Peneza (Viti Maalumu Chadema) na Magdalena Sakaya (Kaliua - CUF)....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema uzito wa Rais John
Magufuli kumwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga
kutokana na kutajwa kuhusika na Kampuni ya Lugumi inayodaiwa kulitapeli
Jeshi la Polisi, utasababisha waanze harakati za kumng’oa Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa....
Mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa machachari na Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe, amebadili msimamo mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii, kuwa Zanzibar inakandamizwa na Tanzania Bara na kwamba ni koloni lake...
Polisi mkoani Mara inamshikilia mganga wa zahanati katika Kijiji cha Rwamchanga wilayani Serengeti kwa madai ya kushindwa kumhudumia mjamzito aliyejifungua pacha na kusababisha kifo cha mtoto mmo...
Kambi ya Upinzani imelizidi maarifa Bunge na kurejesha sakata la kuuzwa nyumba za Serikali ambalo juzi lilisababisha kiti cha Spika kuagiza yaondolewe maneno yanayomtaja Rais katika hotuba ya maoni mbadala.&nb...
Operesheni ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri wawili ambao pia walikuwa manaibu mawaziri katika Serikali ya Awamu ya N...
Na Ally Daud- Maelezo.Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imebakiza Tsh. Trilioni 2.363 ili kufikia lengo waliojiwekea la kukusanya mapato ya trilioni 12.363 katika mwaka wa fedha 2015/16, ambapo hadi sasa imekusanya kiasi cha Tsh. Trilioni ...
Afisa masoko wa Bodi ya Maziwa Tanzania, Bw. Michael Mkalati (wa pili kutoka kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano huo juu ya hali ya maziwa hapa nchini uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Wengine ni watendaji wa bodi hiyo.&nbs...
kushoto ni meneja wa hoteli ya star com iliyoko kilolo
mkoani iringa wakiwana na wafanyakazi wa hoteli hiyo wakizungumza na wandishi wa
habari hawapo pichani baada ya hoteli hiyo kusitisha huduma zake kwa mu...
WAZIRI
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba, amewataka wakulima na
wafugaji kuacha kutumia uhai wa mtu kama fidia ya mifugo au mashamba
yaliyoharibiwa kwa kuuana katika mapigano ya wenyewe kwa mwenye...
Katika
kile kinachoonekana amedhamiria kuendelea kubana matumizi ya serikali,
Rais John Magufuli amekataa ombi la kuongeza fedha za ununuzi wa magari
kwa wabunge pamoja na fedha za mfuko wa bun...
NAIBU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula,
ametaka wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika mikoa
yote washindanishwe kujua utendaji kazi w...
Aliyekuwa
mgombea wa urais wa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Jeb
Bush amesema hatampigia kura Donald Trump katika Uchaguzi Mkuu
utakaofanyika nchini humo Novemba mwaka h...
Kampuni ya kufua umeme kwa njia ya gesi asilia, Songas Limited imezima
mitambo yake, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kushindwa
kulipa deni la Dola 90 milioni za Marekani sawa na Sh193.5 bilioni,
jambo linalotishia ukosefu wa nishati hiyo muhimu nchini....
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewasimamisha kazi wakuu
wawili wa idara katika manispaa mbili kwa tuhuma za kushindwa kutoa
maelezo kuhusu watumishi hewa katika idara zao, huku wakiendelea
kuidhinisha mishahara yao kwa miaka min...
Wakati
mchungaji wa Kanisa la Moravian akikamatwa na meno ya tembo 11 ndani ya
kanisa, huko Moshi wachungaji wawili wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za maua...
Suala
la uhaba bandia wa sukari limeendelea kuitikisa nchi, lakini vyombo vya
ulinzi na usalama vikifanya kazi nzuri baada ya kuwatia nguvuni
wafanyabiashara wengine, waliohodhi bidhaa hiyo kinyume cha sheria huku
ikiwamo kukamata kilo 622,000 za mfanyabiashara Haruni Zakaria mkoani
Morogo...
Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Riziki Mngwali amepinga mpango wa
Serikali kuajiri wakunga wanaume katika baadhi ya zahanati kuhudumia
wajawazito wakati wa kujifungua kuwa ni udhalilishaji dhidi ya wanawake.
...
Wakazi wa Kijiji cha Nala na vitongoji vyake juzi walimpelekea maji
machafu Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na
Walemavu Anthony Mavunde wakimtaka ayanywe kwa kuwa ndiyo wanayotumia....
Mkazi wa Kijiji cha Natambiso, Kata ya Natta wilayani Serengeti Mkoa wa Mara,
Christopher Nyamasagi ameswekwa mahabusu kwa tuhuma za kutoa taarifa ya
uongo kuwa mjumbe mmoja mwanamke aliombwa rushwa ya ngono ili wapate
mikopo ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)....
Watu
wawili wanaodaiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi
mkoani Mwanza baada ya kurushiana risasi na askari wakati wakiwa kwenye
harakati za za kuvamia nyumbani kwa mfanyabiashara wa madini, Baraka
Sa...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, Saadati Mwambungu pamoja na
wajumbe 19 wa kamati ya utendaji wa wilaya hiyo, wamevuliwa uongozi
baada ya kutuhumiwa kukihujumu chama....
Mfanyabiashara
Naila Aminel (24) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa
faini ya Sh milioni tano baada ya kukiri kutumia mtandao wa kompyuta
kutuma ujumbe wa lugha ya matu...
Taasisi
ya kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) imebaini kuwepo kwa sukari
iliyofichwa tani 4,579.2 iliyonunuliwa toka Kiwanda cha Sukari
Kilombe...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika MISA tawi la Tanzania, Simon Berege, akifafanua jambo wakati wa Mafunzo Maalumu kwa Watumishi wa Mahakama za Mkoa wa Mwanza yanayofanyika Jijini Mwanz...
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Mhe.Robert Vicent Makaramba akiongea katika Ufunguzi wa Mafunzo Maalumu ya huduma kwa Wateja yanayotolewa kwa Watumishi wa Mahakama za Mkoani Mwanza. Mafunzo hayo yameanza leo na yanatarajia kufikia tamati kesho Mei 07,2016....
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alikuwa mkali
bungeni akisema yeye si mwizi na kuwabeza wanaomuita hivyo kuwa
wataisoma namba....