Monday, April 30, 2018

UDHAMINI WA PUMA NDANI YA IFA UTASAIDIA KUINUA VIPAJI VYA SOKA MKOANI IRINGA

12.00 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; ...

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI(WCF) UMEKUWA MSHINDI WA PILI KATIKA MASUALA YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba (kulia), akipokea tunzo na cheti kutoka kwa Bw. Eric Shitindi katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu baada ya MFuko kushinda nafasi ya pili katika masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi katika maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani tarehe 28 Aprili katika Uwanja wa Kichangani Iringa. MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeibuka mshindi wa pili katika masuala ya usalama na afya mahala pa kazi katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi nchini ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 28 Aprili kila mwaka. Maadhimisho haya huratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) nchini na kwa...

IRINGA IJIPANGE SAWASAWA KUWA KITOVU CHA UTALII

 Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi akisalimiana na Rais wa jamhuri ya muungano Dr John pombe Magufuli alipofika Iringa kwa ajili ya ziara yake Baada ya uzinduzi wa barabara ya Migori-Iringa ambayo ni sehemu ya Barabara ya Dodoma hadi Iringa, Mhe Rais alizungumzia nia yake ya kuhakikisha Utalii unanyanyuka Southern Circuit ambapo Mkoa wa Iringa ndio kitovu. Kati ya mambo ambayo Serikali imedhamiria kuyafanya ni pamoja na kuufanya uwanja wa ndege wa Nduli kuwa mkubwa na wa kisasa, na kujenga barabara ya Iringa hadi geti la Ruaha National Park. Hatua hizi ni wazi kuwa zitaifungua Iringa kifursa mbalimbali. Ni muhimu kuanza kujiweka sawa kuanzia mafunzo katika masuala ya Utalii. Ni wajibu wetu kuwa-encourage vijana wetu kujihusisha...

Saturday, April 28, 2018

TALGWU WAWATAKA WANACHAMA WAKE KUJIANDAA KUNUNUA HISA HAPO BAADAE ZA MICROFINANCE PLS

Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa hapa nchini Tanzania (TALGWU)  wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye banda loa katika viwanja vya kichangani manispaa ya Iringa na kuwataka wanachama kununua hisa kwa wingiili nao wawe wamiliki wa taasisi na kufanikiwa kuwa na maamuzi ya chama hicho kwa maendeleo ya mwanachama  Baadhi ya wananchi na viongozi walipokuwa wakibadilishana mawazo kwenye banda la TALGWU  Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa hapa nchini Tanzania (TALGWU)  wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye banda loa katika viwanja vya kichangani manispaa ya Iringa. NA FREDY MGUNDA,IRINGA. Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa...

Tuesday, April 24, 2018

MICHEZO YA MEI MOSI MKOANI IRINGA YASHIKA KASI,HUKU TRA IKIPATA USHINDI KWA TAABU SANA

 Wachezaji wawili waliozavalia jezi za rangi ya njano na nyeusi ni wachezaji wa timu ya mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wakijaribu kumnyang'anya mpira mcheza wa timu ya Ukaguzi katika mchezo uliochezwa hii leo jioni katika dimba la kumbukumbu ya Samaro  Mchezaji hatari katika mchezo wa leo wa timu ya TRA mwenye jenzi ya njano na nyeusi akielekea kutoa pasi ya goli huku beki wa timu ya Ukaguzi akiishia kumuangalia tu kwa macho  TRA wakipata goli lao la kwanza na la ushindi leo katika uwanja wa Samora uliopo manispaa ya Iringa  Golikipa wa timu ya ukaguzi akiwa hana la kufanya zaidi ya kuutolea macho mpira ukiingia nyavuni  Wachezaji wa timu ya TRA wakishangilia mara baada ya kupa goli ambalo pia limekuwa...

TAKUKURU MKOA WA IRINGA WAMECHUNGUZA MIRADI NANE NA MIWILI IMEKUTWA NA UBADHIRIFU

 Kamanda  wa  taasisi ya  kuzuaia  na kupambana na  rushwa  (TAKUKURU)  mkoa  wa  Iringa  Aidan  Ndomba  akizungumza na  waandishi wa habari ofisini  kwake  kuelezea juu ya kilichotokea katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2017.  Baadhi ya viongozi wa takukuru na waandishi wa habari wakimsikiliza Kamanda  wa  taasisi ya  kuzuaia  na kupambana na  rushwa  (TAKUKURU)  mkoa  wa  Iringa  Aidan  Ndomba  Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kamanda  wa  taasisi ya  kuzuaia  na kupambana na  rushwa  (TAKUKURU)  mkoa  wa  Iringa ...

Monday, April 23, 2018

JE UNAFAHAMU KWAMBA UNAWEZA KUPENDEZESHA NYUMBA YAKO NA JUMIA?

Na Jumia Tanzania Asilimia kubwa miongoni mwetu tunaishi kwenye nyumba ambazo hatuwezi kupaita ni nyumbani. Najua unaweza ukajiuliza kuna tofauti gani kati ya nyumba na nyumbani. Nyumba ni jengo ambalo unaishi na kukupatia mahitaji yako ya msingi pamoja na hali ya usalama. Wakati, nyumbani ni mahali ambapo panakupatia amani na utulivu wa kiakili, mahali ambapo unatamani kuwepo pindi unapokuwa mbali na pilikapilika za ulimwengu. Lakini jambo la kusikitisha miongoni mwa watu wengi wanaishi katika nyumba ambazo hazistahili kuziita ni nyumbani. Mwonekano wao nje na shughuli wanazozifanya ni tofauti kabisa na mahali wanapoishi na kutumia muda mwingi kutafakari mustakabali wa maisha yao ya kila siku. Je...

TIMU ZAPUNGUA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MEI MOSI MKOANI IRINGA

Makamu mwenyekiti wa kamati ya michezo ya mei mosi kitaifa Joyce Benjamini akitoa kero ya kamati ya mashindano ya mei ya mosi taifa inasikitishwa na kupungua kwa timu shiriki katika mashindano hayo yanaendelea mkoa wa Iringa kutoka timu kumi na Tano (15) mwaka jana hadi timu kumi (10) mwaka huu 2018 mbele ya katibu tawala msaidizi mkoa Majuto Njanga  aliyekuja kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza.  Viongozi mbalimbali wa michezo ya mei mosi wakiwa jukwani  wakipokea maandamano ya timu shiriki zilizokuwa zikiingia uwanjani Timu ya uchukuzi na timu nyingine zikiingia uwanjani    Baadhi ya viongozi na wadau wakiwa jukwaani wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mei mosi katika...

Page 1 of 69412345Next
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More