Tuesday, March 20, 2018

Mkutano wa Team Libe Kampeni DMV 2018

Siku ya Jumapili March 18, katika ukumbi wa Mount rainier, Maryland, Team Libe walifanikisha azama juu ya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Jumuiya Mpya ya Watanzania waishio DMV utakaofanyika siku ya Jumapili March 24, 2018

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More