Wednesday, March 7, 2018

KATIBU WA MGIMWA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI INAYOENDELEA KATIKA JIMBONI LA MUFINDI KASKAZINI

 
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akiwa anafanya kazi kwa vitendo alipofanya ziara ya kukagua miradi inayojengwa na kukarabatiwa katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo na hapa ujenzi wa vyoo vya wanafunzi wa shule ya sekondari Igombavanu ilipo katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akifuatilia kwa umakini jinsi gani ujenzi unavyoendelea wa kujenga madarasa mapya katika shule ya sekondari ya Igombavanu
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akiongea wakati wa kukabidhi kisima cha maji katika shule ya sekondari ya Mgalo iliyopo kata ya sadani
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akikagua jinsi gani ukarabati wa darasa la shule ya msingi Igeleke unaendelea na je matumizi ya vifaa vilivyotolewa na mbunge vinatumika vilivyo.
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende alitembelea ujenzi wa darasa la awali katika shule ya msingi Kilimahewa iliyopo katika kijiji cha Usokami
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akikagua ujenzi wa mabweni ya kisasa katika shule ya sekondari ya Mgalo iliyopo kata ya Sadan
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akiwa na wafadhili water for Africa waliochimba kisima katika sule ya sekondari ya Mgalo siku waliyokuwa wanakabidhi kisima hicho
Katibu wa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Baptist Mdende akiendelea kukagua ukarabati wa madarasa katika shule ya sekondari ya Igombavanu

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More