
Wednesday, March 30, 2016

mwangaza wa hbari
No comments
 |
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu “ Izzo Bizness “ akitumbuiza
kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya
jumapili iliyopita.
|
 |
Izzo Bizness akishow love kwa mashabiki zake tamasha la pasaka la home Sweet Home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya
jumapili iliyopita.
|
 |
Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo Bizness |
 |
Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita. . |
0 comments:
Post a Comment