Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein
akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1 cha kupiga kura
namba 1 Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa katika foleni ya wapiga kura ya Uchaguzi wa marudio
katika kituo cha kupiga kura Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa
wa Kusini Unguja leo,(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
Dkt.Idriss Muslim Hija, [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed
Shein akipokea karatasi ya kupigia kura kutoka kwa PA (1) Jaffar
Suleiman kituo namba 1cha kupiga kura ya Uchaguzi wa Marudio Skuli ya
Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika leo,[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein
akifanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaonesha kidole
kilichoingizwa wino maalum baada ya kipiga kura ya marudio leo katika
kituo namba 1cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Viongozi mbali mbali waliomsindikiza wakati alipokwenda
kupiga katikauchaguzi wa marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein akiiangalia karatasi ya kupigia kura katika uchaguzi wa
Marudio baada ya kukabidhiwa katika chumba namba 3 cha Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja, [Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment