| Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga,akipatiwa maelezo na mtaalum kutoka kwa wakala wa usambazaji wa mbegu wakati alipotembelea Banda hilo. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye moja kati ya mabanda ambayo yanahusika na uuzaji wa mbegu bora za kilimo. |
| Baadhi ya viongozi wa Wilaya wakitazama namna ambavyo jiko la kupikia la umeme linavyoweza kutumia umeme mdogo zaidi. |
| Mgeni Rasmi akipewa maelekezo ya namna ya kutumia kifaa endapo kama mteja akawa na nyumba ndogo. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la TFDA. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la dawa zinazotokana na miti. |
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya
usalama wa chakula kwenye wizara hiyo Bi Josephine Amulo akielezea umuhimu wa siku hiyo.
| Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya kalangalala wakifuatilia maadhimisho. |
| Brother K wa kikundi cha sanaa cha Futuhi akionesha makeke yake. |
<!--[if gte mso 9]>






Sunday, October 15, 2017
mwangaza wa hbari




0 comments:
Post a Comment