Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche
Mwanjelwa (Mb) akizungumza wakati wa kikao cha kazi na Wakuu wa Idara na
Vitengo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa wizara ya Kilimo (Kilimo IV)
Wakuu wa Idara na Vitengo wakimsikiliza kwa makini Naibu
Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao
cha kazi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa wizara ya Kilimo (Kilimo IV)
Kikao kikiendelea
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche
Mwanjelwa (Mb) (Kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew John
Mtigumwe wakifatilia kikao cha kazi kilichowakutanisha na Wakuu Idara na
Vitengo
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utafiti Dkt
Mansoor Hussein
0 comments:
Post a Comment