Mamlaka
ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei
za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.
Kushuka
huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe sambamba na hilo gharama za
huduma kwa baadhi ya wateja zimeondolewa.
Bei
mpya kwa watumiaji wadogo ni sh.100 kwa uniti, watumiaji wa kati ni
sh.292 toka 298 ya zamani.Wafanyabiashara wadogo ni sh. 195 toka sh.
200 ya hapo awali.
Bei mpya kwa wafanyabiashara wa kati ni sh.157 toka sh. 159. Wanaonunua kwa wingi (bulk) ni sh. 152 toka sh. 156 ya hapo awali
Bei mpya kwa wafanyabiashara wa kati ni sh.157 toka sh. 159. Wanaonunua kwa wingi (bulk) ni sh. 152 toka sh. 156 ya hapo awali
Tazama jedwali hili kuona mgawanyo wa bei mpya.
0 comments:
Post a Comment