NA MZIDALFA ZAID(ARUSHA)
Jeshi la polisi mkoani shinyanga limewataka wananchi kutoa ushilikiano katika kuwabaini wahalifuna uharifu ili mkoa huo ubaki katika hali ya usalama kwani mpaka hivi sasa matukio ya kiuharifu mkoani humo yamepungua.
Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa polisi mkoani shinyanga muizilo jumanne mulilo ambapo amewataka wananchi wote kushilikiana na jeshi hilo hususani kuwabaini watumiaji wa madawa ya kulevya.
Hata hivyo muizilo amewashukuru wananchi kwa kushilikiana na jeshi lapolisi ingawa bado kuna baadhi ya wananchi wanaliogopa jeshi la polisi hali inayopelekea jeshi la polisi kushindwa kufanya upeleezi wao vizuri kutokana na kuogopwa.
Mkoa wa shinyanga ni mkoa ambao unapakana na mikoa ya mwanza tabora na geita hivyo aesema kuwa wamekuwa wakishilikiana na makamanda wa polisi wa mikoa hiyo katika kuwabaini waharifu wote nchini.
Monday, April 3, 2017
JESHI LA POLISI SHINYANGA LIMEWATA WANANCHI KUWAFICHUA WAHARIFU WOTE
Monday, April 03, 2017
mwangaza wa hbari
No comments
0 comments:
Post a Comment