Pichani ni Msani Junaisaty daimond akiwa katika pozi mbalimbali
NA RAYMOND MINJA IRINGA
Msani anayefanya vema katika muziki wa kizazi kipya kutoka
mkoani Iringa Junaisaty Daimond (JUNAY)a
memtaka mkali wa hip hop Emanuel Elibariki
Nay wa Mitego kuomba radhi kwa watu wote aliowasema vibaya katika wimbo
wake wa Shika Adabu yako kwa kuwa kila mtu anatakiwa kuheshimika kwa maisha
yake aliyochagua kuishi
Akizungumza na bigwa msani huyo anayetamba na wimbo wake wa
changanyachanganya alisema kila mtu anamaisha yake aliyochagua kuishi ili mradi
hamkeri mtu hivyo hakuna haja ya kumdisi au kumdhalilisha mwingine kwa kuwa tu unasehemu ya kusemea .
Junay alisema kuwa licha ya msani huyo kuwa na jina kubwa katika
medali ya muziki lakini yampasa kuomba msamaha kwa kuwa aliwauzi wasani hao
pamoja na mashabiki wao jambo ambalo linaweza kumfanya kushuka thamani yake
mbele ya jamii iliyomzunguka
“Kumekuwa na tabia ya wasanii kuwasema wenzao vibaya kupitia
muziki au watangazaji kuwasema watu vibaya kwenye radio eti kisa tu anasehemu
ya kusema ni vema kila mmoja lazima aheshimu uhuru na mawazo ya mtu kwani kila
mtu anahaki ya kuishi jinsi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi .”
Akizungumzia sula la Ney kumchana Wema Sepetu kuwa endapo
mimba yake ni kick na hatimaye mimba ya Wema kutoka alisema sio jambo jema na
dhahiri teem wema watamchukia msanii huyo katika maisha yake kwani itaonekana
kama mchawi wake
Hata hivyo msani huyo aliwataka wasani kuwa na ushirikiano
katika shida na raha kwani wasani wengi
hasa wenye majina wamekuwa wakijisahau na kushidwa kushiriki mambo mbalimbali
ya kijami kama vile misiba kwani ipo siku naye atakubwa na tatizo na kutegwa
kama alivyokuwa akiwatenga wenzake katika matatizo
0 comments:
Post a Comment