Mwakilishi wa Mkurugenzi wa TGNP Grace Kisetu (Aliyesimama), akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi
Sehemu ya wananchi zaidi ya arobaini walioshiriki katika wa mjadala huo.
Kama
sehemuyakuadhimishaSikuyaKupingaUkeketajiDuniani, TGNP MtandaokwaushirikianonaShirika
la WatuDuniani (UNFPA),wanaharakati, JamiiyaKipunguni, Dar es salaam
imefanyamajadilianoyaliyowashirikishawananchiwaeneohilo,
viongoziwaserikalizamitaa, viongoziwadininavyamavyasiasapamojanawaandishiwahabarilengolikiwanikuwekamikakatiyakupambananaukeketaji.
Katikaufunguzi,
MwakilishiwaMkurugenziMtendajiwa TGNPMtandao Bi. Grace Kisetu ameelezakuwalengo
la kuadhimishasikuhiyonikuiletajamiipamojakatikakujadilihaliilivyo,kutambuachangamotonakutafutanjianzurizakukabilinanatatizo
la ukeketaji.
“Takwimuzamwaka
2010 zinaoneshakuwa, takribaniasilimia 15 yawanawake Tanzania wamekeketajihivyomnawezakuonabado
tuna kazikubwakwanivitendohivyovinaendelea”Ameeongeza Bi. Kisetu
Aidhaameelezakuwapamojana
Tanzania
kuridhiamikatabambalimbaliyakikandanakimataifainayomlindamwanamkepamojanakutungaSheriaNamba
16 yaKanunizaAdhabuambayoinatoaadhabuyakifungo cha miakamitatuhadikuminatano,
badovitendovyaukeketajivinaendeleanchini.
Alitaja mikoa inayoongoza katika ukeketaji ikiwa ni
pamoja na Manyara,(71%), Dodoma, (64%),
Arusha, (59%), Singida,(51%) Mara (40%), Morogoro, (21%) na Tanga (
20%).
Akiwasilisha shughuli zinazofanywa na Kikundi cha Sauti
ya Wananchi Kipunguni katika kupambana na ukeketaji katika kata hiyo,
Mwenyekiti wa kikundi hicho Seleman Bishagazi amesema, kitendo hicho kimekuwa
kikifanyika kwa siri kubwa. Amesisitiza kuwa baadhi ya familia za makabila
yanayofanya ukeketaji katika eneo hilo huwafanyia ukeketaji watoto wao punde tu
wanapozaliwa hivyo kuongeza changamoto zaidi.
Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kipunguni Mohamed Msofe
ameahidi kutafuta ofisi kwaajili ya kikundi hicho ili kiweze kufanya shughuli
za harakati kwa ufanisi zaidi hasa katika kuleta maendeleo.
”Nawaomba viongozi wa dini, waalimu na wanaharakati
kuendelea kushirikiana katika kutoa elimu na nawahimiza Sauti ya Wananchi
Kipunguni kutoa elimu kuhusu ukeketaji kwa njia ya sanaa katika mikutano ya
wananchi”
Mkuu wa Dawati la Jinsia kutoka kituo cha polisi Lydia
Mrema amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa taarifa na
ushahidi ili haki iweze kutendeka. ”ushahidi ndio unaomtia mtu hatiani, lakini
changamoto ni kuwa ushahidi unakuwa hafifu kwani wahusika huwa wanafamilia”
Alisisitiza Lydia
Akitoaneno
la kufungamjadalahuo, Mwakilishiwa UNFPA nchini Mary
Nsemwaemesemakuwawanawakekatiyamilioni 100-140
wamekeketwadunianihukuukatilihuoukifanyikakatikanchi 28.
Alielezakuwaukeketajiniukiukwajiwahakizabinadamunakusisitizakuwapamojanautoajiwaelimu,
watuwanaohusikalazimawafikishwekwenyevyombohusika.
“tunawapongezakwakazinzurinatutaendeleakuungamkonojuhudizakupambananaukeketaji”.
Alisisitiza Mary
Mwakilishi mwingine wa UNFPA Tausi Hassan alisema “kunahatariyakuongezekakwaidadiyamatukioyaukeketajikwanikatikautafitiuliofanywamwaka
2010 Dar esSalaamuilikuwanawastaniwaasilimia 0.3 lakiniutaftihuuukifanyikaidadiitaongezeka”.Hiinikwasababuwenyejiwanaotokamikoainayofanyamilayaukeketajiwamehamianakuishaihapa”.
Tukio hilo linakuja siku mbili kabla ya siku rasmi ya
maadhimisho hayo ambayo hufanyika tarehe 6 Februari kila mwaka. Siku hiyo
inayoratibiwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, huwaleta
pamoja wadau katika kujadili masuala ya kisera, kisheria na kiutendaji katika
kukabiliana na ukeketaji.
0 comments:
Post a Comment