Thursday, May 31, 2018

WACHEZAJI NA WATUMISHI WA KLABU YA SINGIDA UNITED FC WAPEWA MIFUKO 50 ya CEMENT KILA MMOJA

Akizungumza na vyombo vya habari hiii leo,Mkurugenzi wa Singida United Ndg. Festo Sanga @sanga_nation amesema, Uongozi wa klabu kuanzia chini ya Rais na mwenyekiti wa timu hiyo wameamua kutoa mifuko ya Cement kwa kila mchezaji na mtumishi wa klabu hiyo kama shukrani na pongezi kwa namna walivyopambana kufanikisha sehemu ya malengo ya klabu kwa msimu wa 2017/2018. Tukio hilo ambalo kama sila kwanza hapa nchini, basi ni tukio la heshima na upendo wa hali ya juu katika kuimarisha mahusiano ya klabu na wachezaji, Singida United imetoa mifuko hiyo kama alama katika maisha ya wachezaji na watumishi kwamba katika maisha ya soka kuna maisha mengine ya kuanza kujitegemea mapema. Tayari wachezaji na Watumishi wameshachukua mifuko hiyo kwaajili ya...

MBUNGE RITTA KABATI AWATEMBELEA WAFUNGWA WA GEREZA LA WILAYA YA IRINGA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati  akiwa na viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa pamoja viongozi wa gereza la Iringa alipoenda kutoa sadaka ya tende,pesa taslimu kiasi cha shilingi laki saba (700,00) na msaada wa mataulo maalumu kwa wafungwa wa Gereza manispaa ya Iringa kwa ajili wanawake kuyatumia wakati wakiwa katika kipindi cha hedhi NA FREDY MGUNDA,IRINGA. MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati ametoa sadaka ya tende,pesa taslimu kiasi cha shilingi laki saba (700,00) na msaada wa mataulo maalumu kwa wafungwa wa Gereza manispaa ya Iringa kwa ajili wanawake kuyatumia wakati wakiwa katika kipindi cha...

Wednesday, May 30, 2018

FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY WATOA SOMO KUELEKEA UCHAGUZI NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society Bw. Francis Kiwanga akitoa ufafanuzi mbele ya wageni waalikwa mapema leo jijini Dar es salaam wakati akifungua  mkutano wa kujadili nafasi ya Asasi za kiraia katika chaguzi zijazo hapa nchini. Asasi za kiraia nchini zimetakiwa kujitoa katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kwa wingi katika chaguzi mbalimbali ikiwemo ya serikali za mitaa na wa serikali kuu wa mwaka 2020. Hayo yamesemwa mapema leo Jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society Bw. Francis Kiwanga alipokuwa akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi, wenye lengo la kujadili hali ilivyo kabla ya kufikia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani. Mzee Gallus...

PDF WAWATAKA WAZAZI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MTOTO WA KIKE KATIKA HEDHI

Diwani wa kata ya Mtambula, Isack Kilamlya akitoa neno kwa wazazi na wanafunzi juu ya kutambua na kutoa elimu juu ya hedhi na jinsi ya kujihifadhi kwa watoto wakati wa maadhimisho ya siku ya hedhi duniani Afisa mradi wa shirika lisilo la kiserikali la peoples development forum (PDF) ambalo linafadhiwa na UNICEF  upande wa usafi wa mazingira lishe bora watoto Adventina Lazaro akitoa neno kwa wazazi na wanafunzi juu ya kutambua na kutoa elimu juu ya hedhi na jinsi ya kujihifadhi kwa watoto wakati wa maadhimisho ya siku ya hedhi duniani  Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mwesa wakiwa na mabango yakiwa na maandishi yaliyoandikwa kwa maneno tofauti tofauti wakatika maadhimisho ya siku ya hedhi duniani  Baadhi...

Tuesday, May 29, 2018

MBUNGE RITTA KABATI ATOA SADAKA YA TENDE KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM MANISPAA YA IRINGA

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringakupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akiongea na viongozi wa misikiti yote ya manispaa ya Iringa wakati wa utoaji sadaka ya tende kwa waumini wa dini ya kiislamu wa manispaa ya Iringa kwa ajili ya kuadhimisha mfungo wa ramadhan kwa waislamu wa wote wa manispaa ya Iringa.   Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza amemshukuru mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati kwa kutoa sadaka ya tunda la tende kwa waiislamu katika  kipindi hiki cha mfungo wa ramadhan.  Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akikabidhi tende alizokabidhiwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringakupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati...

AMREF YAISHUKURU SERIKALI KUAMINI UTENDAJI WAO

 Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu (aliyekaa kushoto), akisaini mkataba wa kufanya kazi pamoja na Tayoa. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tayoa, Peter Masika. Anayeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Uratibu ya Miradi ya Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu inayofadhiliwa na mfuko wa dunia Dr. Rachae Makunde.  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Health Promotion Services (THPS), Redemputa Mbatia, akipeana mkono na Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu baada ya kusaini mkataba huo.  Wadau wa masuala ya Afya wakiwa kwenye uzinduzi huo.  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile, akihutubia kwenye uzinduzi huo.  Emiliani...

JUMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO

Na Jumia Food Tanzania Katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Jumia Food kwa kushirikiana na wateja wake inaendesha kampeni ya kusaidia kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo inayojihusisha na huduma ya chakula kutoka migahawa mbalimbali jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao, imeona ni vema kuwashirikisha wateja wake kwani wao ndio wadau wake wakubwa. Kampeni hiyo inayokwenda kwa jina la ‘STANDY BY ME,’ kwa kiasi kikubwa inawategemea wateja kwa sababu kwa kila huduma ya chakula watayoifanya kupitia mtandao wa Jumia Food itakwenda moja kwa moja kumsaidia mtoto mmoja kituoni hapo. Akifafanua namna wateja wanavyoweza kuchangia, Meneja...

Page 1 of 69412345Next
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More