Monday, January 25, 2016

kijana dickson mfuvagwa anaomba msaada ili tumnusulu kukatwa kwa mguu wake


 
huu ndio mguu unaomsumbua kijana dickson mfuvagwa 
 
 huyu ndio kijana dickson mfuvagwa
 huu ndio mguu unaomsumbua kijana dickson mfuvagwa  
 huu ndio mguu unaomsumbua kijana dickson mfuvagwa  
dickson mfuvagwa  ni kijana anayesumbuliwa na tatizo la mguu wa kulia ambao unaelekea kuoza
watanziania mwenye roho ya huruma mnaombwa kumsaidia kijana dickson mfuvagwa kutoka kijiji cha madibila anatakiwa kufanyiwa operation ya mguu huo katika hospita ya ipamba na gharama zake ni sh. laki nne tunaomba msaada wako ili kuokoa maisha ya kijana huyu.

tupunguze omba omba kwa kumsaidia kijana huyu ili akipona ajitegee mwenyewe na kwa mawasiliano mtafute dickson mfuvagwa kwa nambari ya simu ya 0744 322980 kutoa ni moyo na ukitoa mungu atakusaidia  na atakuzidishia ulipotoa mungu awe nawe.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More