
Thursday, January 28, 2016

mwangaza wa hbari
No comments

Azimio
La Baraza Kuu La Uongozi La Taifa Kuhusu Tangazo La Mwenyekiti Wa Tume
Ya Uchaguzi Ya Zanzibar La Kuitisha Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar
Baraza
Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha
Wananchi), likiwa ndiyo chombo cha juu cha maamuzi katika Chama baada ya
Mkutano Mkuu wa Taifa, limefanya kikao cha dharura leo, tarehe 28
Januari, 2016, katika Ofisi Kuu ya CUF, mjini Dar es Salaam.&nb...