Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania TFRA imewatoa hofu wa kulima wa mkoa wa ruvuma, baada ya kufanya ziara ya kushitukiza katika maghala ya kuhifadhia mbolea SONAMCU ,na kukuta shehena ya mbolea ikiwa ya kuridhisha kama anavyobainisha kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya mbolea LAZARO KITUNDA HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE






Monday, January 29, 2018
mwangaza wa hbari




0 comments:
Post a Comment