Mgogolo wa daladala manispaa
ya iringa umeingia kwenye hatua nyingine baada ya viongozi mbalimbali kutumia
vyombo vya habari kutatua mgogoro huo.
Akizungumza na blog hii
naibu meya joseph lyata amesema kuwa wametoa taarifa kwenye vyombo vya habari
ili waweze kuitwa na viongozi wa juu wa mkoa .
“Jana na juzi tumetoa kauli
ikaenda redio zote za hapa manispaa kwa lengo la kuangalia kuwa je viongozi
wataelewa na kututafuta hivyo tunatumia vyombo vya habari kuwafikishia ujembena kangalia je
viongozi wamesikia”.alisema lyata
Aidha lyata amesema kuwa
haiwezekani mkuu wa mkoa akatawala kama rais wa mkoa huu wakati manispaa ya
iringa inaongozwa na chama cha
demokrasia na maendeleo( chadema) hivyo wanamamlaka ya kuujenga mji wanavyotaka
wao.
“Mkuu wa mkoa anatumia vyombo vya ulinzi kama vyake na
anavyotaka hivyo tutaamua cha kufanya
kwa kuwa hatupo tayari kuburuzwa na mtu mmoja” .alisema lyata
Lakini walipanga kufanya
mgomo katika maeneo ya mshindo na miomboni lakini mapema leo asubuhi walienda
kujificha maeneo ya mshindo tu huku
wakiwa wamesimama vikundi vikundi katika duka moja la mfanyabiasha.
“Hatujajificha hapa tunapita
tu kwa kuwa hili eneo tunapanga mipango yetu tu na kusikiliza vyombo vya habari
kwa pamoja vinasemaje na je viongozi wa mkoa watatutafuta angalia simu ya RTO
inaingia ngioja nipokee nimsikilize”.alisema lyata
Lyata amesema kuwa
walifuatwa na viongozi wa madereva kuwasaidia ili kutatua mgogoro huo ambao
wanaona kuwa hauna maslai kwa madereva na wananchi waliowaweka madarakani.
Habari hii itaendelea hivi
pundeeeeeeeeeeee
1 comments:
Safi Sana lakini wimbo wangu ni ule ule pitia Habari na ubalance umesema kuwa alipokea simu ya rto je waltzingumza nini, na je waandishi wa Habari wamesaidiaje zaidi ya kulipoti tuu, mamlaka husika yaani vyombo vya dola vina simama wapi katika hili
Post a Comment