Thursday, September 7, 2017

SIMBACHAWENE AACHIA UWAZIRI


Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK John PombeMagufuli leo amekabidhiwa ripoti ya uchunguzi ya madini ya Tanzanite na Almasi uliyofanywa na kamati mbili maalum zilizokuwa zimeundwa na spika wa Bunge Job Ndugai.

Ripoti ya uchunguzi wa madini hayoimemtaja waziri wa TAMISEMI George Simbachawene, hivyo muda mchache baada ya kutajwa amefanya maamuzi.



Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ameripotiwa kuandika barua ya kujiuzulu baada ya jina lake kutajwa katika uchunguzi huo, uchunguzi huo ulifanywa na kamati mbili zilioundwa na Spika wa Bunge Job Ndugai.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More