Tuesday, July 18, 2017

NAIBU MEYA JOSEPH LYATA USO KWA USO NA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MASHINE TATU

 Naibu Meya Manispaa ya Iringa Mjini Joseph Nzala Ryata alitembelea soko la mashine 3 na kuzungumza na wafanyabishara wadogo wadogo maalufu kama machinga

Ambapo wafanyabishara hao Walipata nafasi Kueleza kero zao

 Ikiwepo Ya  kunyanyaswa na mgambo,

 kushindwa kulipa marejesho ya mikopo kwani wanategemea biashara hiyo baada ya kukopeshwa na Manispaa hiyo hiyo, 

Na kuomba kusaidiwa kama kiongozi waliempigia kura

 Nae Naibu Meya akaahidi kulishughulikia swala hilo kupitia vikao, 

pamoja na kushauriana na viongozi wenzake na akaahidi kuongea na Mkurugenzi.

Pili Naibu Meya Amewaomba Machinga kuwa watulivu kwa wakati ambao Halmashauli inatafuta suhuhisho La kudumu juu ya kero zao

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More