Wednesday, July 19, 2017

KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YA MANISPAA YA IRINGA MJINI YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 
 
Kamati ya fedha na uongozi leo inafanya ziara ya kutembelea miradi Mbalimbali  ya maendeleo katika manispaa ya Iringa chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni Meya wa Manispaa Mh. Alex Kimbe.

Mh meya aliogozana na Naibu Meya Joseph Nzala Lyata

1.Kamati imetembelea ukarabati soko kuu la manispaa ya Iringa.

2. kamati imetembelea choo cha kulipia kilicho katika vizurii soko. Ili kufahamu makusanyo ya mapato katika choo hicho.

3.Kamati pia imetembelea soko la ngome ambalo litatumika na wafanyabiashara wa matunda ya jumla.

Na Mwisho kamati wamekagua ujenzi wa madarasa shule ya viziwi mtwivila.

Kamati imefurahishwa na mwenendo wa miradi yote waliyoitembelea 

Na Wamehadi kuisimamia vizuri,ili wananchi waweze kunufaika vizurii

Imetolewa na 

Joseph Nzala Lyata 
Naibu Meya Manispaa ya iringa mjini

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More