Thursday, February 2, 2017

NDEGE NDOGO YAANGUKA, KILOLO IRINGA


Ndege ndogo ya kupuliza dawa ikitokea maeneo ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imeanguka katika kijiji cha Ipalamwa wilayani humo, jana jioni, huku taarifa za awali zikidai kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha .

Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdallah amethibitisha kutokea kwa ajili hiyo na kuwa ndege hiyo ilikuwa ikitoka Mufindi kwenda Kilombero mkoani Morogoro na kuwa rubani wa ndege hiyo ametoka salama

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More