Kamu Meneja Mkuu
wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akikabidi jezi kwa moja ya timu
zinazoshiriki ligi ya wilaya ya Iringa (Kiswaga Cup) anayeshuhudia
kushoto ni mdhamini wa ligi hiyo Jackson Kiswaga ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini
Akikabidhi vifaa hivyo
Kiswaga akieleza sababu za kufadhili ligi hiyo kwa lengo la kukuza sekta ya mchezo wa soka wilayani Iringa
Wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa timu hizo
na fredy mgunda,iringa
“HAKIKUSOEA
hata kidogo; kilicheza karata yake vizuri,” maneno hayo yanaweza kusemwa na
mpenda soka yoyote wa wilaya ya Iringa baada ya Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya
ya Iringa (IDFA) April 26, 2014 kumteua na kumsimika Mkurugenzi wa Kampuni...