Naibu Katibu Mkuu Wazazi ccm Tanzania
bara
Godfrey Mheluka akiwa anawahutumia wananchi waliouthuria katika
kongamano la kujadili maadili mema na uzalendo ni ustawi wa Arusha
yetu na Taifa letu kwa ujumla ,kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya
Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Arusha ,kongamano ambalo
lilishirikisha wananchi ,viongozi wa dini ,vyombo vya usalama pamoja
na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na wa sekta binafsi
iliyofanyikia katika ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha

kamanda wa vijana UVCCM mkoa wa
Arusha Philemon
Molel maarufu kama Monabani akiongea na wananchi waliouthuria katika

Habari picha
na Woinde Shizza,Arusha
Wazazi wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kuwalea watoto kwakufuata
maadili ya Mtanzania na kuacha kuiga tamaduni za kigeni ,kwani
baadhi ya tamaduni za kigeni wanazo ziiga zinachangia kusababisha
mporomoko wa maadili katika jamii zetu .
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Wazazi ccm Tanzania bara
Godfrey Mheluka wakati akifunga kongomano la kujadili maadili mema
na uzalendo ni ustawi wa Arusha yetu na Taifa letu kwa ujumla
,kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM)mkoa wa Arusha ,kongamano ambalo lilishirikisha wananchi
,viongozi wa dini ,vyombo vya usalama pamoja na viongozi mbalimbali wa
serikali pamoja na wa sekta binafsi iliyofanyikia katika ukumbi wa
Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha
Alisema kuwa wazazi wengi wa wamekuwa wanalea watoto kwa kufuata
tamaduni za wenzetu wan chi za nje wakidai kuwa ndio malezi bora kwa
watoto na yakisasa kitu ambacho sio kizuri kwani baadhi ya tamaduni za
wenzetu ukiangalia za kutoka nchi za kimagharibi zinaporomosho
maadili kwa watoto wetu.
“ukithamini tamaduni za kimagharibi na ukaacha za kwetu na ukamuacha
mtoto nae akathamini tamaduni hizohizo ujue umempoteza mtoto na
umemuaribu kabisa unakuta mzazi anaona mtoto anavaa mlegezo au kimini
badala ya kumkataza anamuacha anaona kuwa wake ndio mjanja huo sio
ujanja ni ujinga ni kumuaribu mtoto unatakiwa umwambie mtoto hivi sio
vyema ivi nikiwauliza wazazi ivi nyie mngelelewa hivyo au mngelelewa
vibaya je leo mngekuwepo apo mlipo ni wajibu wetu kuwalea watoto wetu
kwa kufuata utamaduni wetu mzuri wenye maadili ili kuweza kuandaa
viongozi wazuri wa baada na wazazi wazuri wa baadae “alisema Mhekuka

Kwa upande wake mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ccm mkoa wa Arusha
Dr,John Palanjo alisema ni wazazi anatakiwa kutimiza waji wake kwa
mtoto wake huku pia mtoto akitakiwa kutimiza wajibu wake kwa mzazi
,aliongeza kuwa pia niwajibu wa kila mzazi kumfatilia mtotowake na
kujua maendeleo yake mwenyewe na sio kumuachia mwalimu amfatilie au
dada wa kazi amfatilie huku akibainisha kuwa mzazi yeyote asitafute
mchawi wa mtoto wake kwani ,asilimia kubwa ya wazazi wao wenyewe ndio
wachawi wawatoto wao.
Aidha aliwaasa wazazi kutenga mda wa kukaa na watoto wao na kuongea na
kuwaelezea kipi kibaya na kipi kizuri ili kuwawezesha watoto wetu
kukuwa kwa kuendana na yale yanayopendeza kwa jamii inayowazunguka
.
“mimi na imaini iwapo mzazi akijua wajibu wake atakubali hata kidogo
mtoto wake aharibike ,hivyo ni vizuri mzazi utambue wajibu wako
umrudie mungu usali maana ukiwa na hofu ya mungu lazima utamlea mtoto
kwa kufuata kanuni za kimungu”alisema katibu wa wawazazi wilaya ya
Arusha Christoper Pallangyo
Kwa upande wake mwenyekiti wa wazazi wilaya ya Arusha Ally Meku
aliwataka baadhi ya wazazi kupunguza migogoro ndani ya familia ili
watoto nao wasiige tabia mbaya kwani wanapoaanza migogo katika
familia wanashindwa kuwale watoto wao na badala yake watoto hao
wanaanza kutangatanga hovyo na kuanza kuiga tabia mbaya.
baadhi ya viongozi wakiwa wanaimba na
kucheza
baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu
wanafatilia kongamano
RTO wa mkoa wa Arusha
Josephy Bukombe nae alikuwepo
katika kongamano hilo ambapo aliwasisitiza wazazi na vijana
waliouthuria katika kongamano hilo kufuata maadili ,huku akiwasihi
wazazi kuwakumbusha vijana wao kuvaa kofia ngumu wakati
wanapoendesha pikipiki zao pamoja na kufuata sheria za usalama
barabarani ili kupunguza ajali ambazo zinaweza kutokea mara kwa
mara
mkuu wa wilaya ya Arusha akiongea na
wananchi waliouthuria katika kongamano hilo
wanafunzi wa shule ya sekondari ya Edmond
Rice nao waliuthuria katika kongamano
hilo
mwenyekiti
wa jumuiya ya wazazi ccm mkoa wa Arusha
Dr,John Palanjo akiongea na wananchi waliouthuria katika kongamano hilo

0 comments:
Post a Comment