
Katibu Tawala Wilaya
ya Nachingwea Mbarouk Balozi amefunga mafunzo ya uongozi, usimamizi na
uendeshaji wa shule za msingi yaliyoendeshwa kwa Walimu Wakuu wa Shule za
Msingi za Mikoa wa Simiyu, Kigoma, Tanga, Kilimanjaro, Mbeya na Mtwara chini ya
mradi wa BOOST na kusimamiwa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Makamu Mkuu wa
Chuo Taaluma, Tafiti na Ushauri Elekezi -ADEM Dkt. Alphonce Amuli ameeleza kuwa
hadi sasa ADEM imeshatoa mafunzo kwa walimu wakuu 4,522 katika awamu ya kwanza
ya mafunzo hayo, na katika awamu hii mafunzo hayo yametolewa kwa Walimu Wakuu
4,620 katika Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Simiyu, Mbeya, Kigoma na MtwaraBaadhi ya walimu wakuu walioshiriki mafunzo hayoNa Fredy Mgunda,Lindi
Katibu Tawala Wilaya
ya...