
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William Makufwe (kushoto) akizungumza na Wasimamizi wa miradi ya Elimu na Afya, katika ukumbi wa Mikutano Bomani...akiwa pamoja Mganga mkuu wa Halmashauri Dkt. Ligobert Kalisa.Na Fredy Mgunda, Makete.MKURUGENZI mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete,William Makufwe, amewataka watumishi kuanzia ngazi ya kijiji hadi makao mkuu ya Halmashauri, ambao wanasimamia miradi kuhakikisha watimiza wajibu wao ili iweze kukamiliaka kwa wakati.Makufwe amesema hayo wakati akizungumza na watendaji wa kata, vijiji, wakuu wa shule , waganga wafawidhi pamoja na wakuu wa idara na vitengo katika ukumbi wa mikutano Bomani,lazima viongozi washirikiane katika kukamilisha miradi ambayo imeletwa katika maeneo...