Mwanasheria
Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa
nyumbani kwake na Polisi kwa ajili ya kupekuliwa.
Tundu
Lissu anashikiliwa na Polisi baada ya kummakata jana alipokuwa anatoka
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni
kuhojiwa kwa makosa mawili.
Kosa la kwanza ni kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za serikali kuzuiwa Canada
0 comments:
Post a Comment