Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa suti) akiongozwa na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa (mbele), kuingia ukumbini
kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi
la Magereza pamoja na Wakuu wa Vituo vya Magereza Tanzania Bara, uliofanyika
Bwalo Kuu la Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika
hotuba yake ya ufunguzi, Masauni aliwataka Maafisa wa Jeshi hilo, kuongeza kasi
zaidi ya kuzalisha katika kilimo, miradi ya ufugaji pamoja na vyanzo vingine
ili kulilitea mapato zaidi Jeshi hilo. Aidha, alisema kwa Maafisa watakaozembea
katika uzalishaji wataondolewa katika nyadhifa zao. (Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi)
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Maafisa
Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza naWakuu wa Vituo vya
Magereza yote Tanzania Bara (hawapo pichani) katika Mkutano uliofanyika katika
Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa wa Jeshi
hilo, Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake ya ufunguzi wa
mkutano huo, Masauni aliwataka Maafisa wa Jeshi hilo, kuongeza kasi zaidi ya
kuzalisha katika kilimo, miradi ya ufugaji pamoja na vyanzo vingine ili
kulilitea mapato zaidi Jeshi hilo. Aidha, alisema kwa maafisa watakaozembea
katika uzalishaji wataondolewa katika nyadhifa zao
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba yake
ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kulia) kwa ajili ya kuja kuufungua Mkutano wa Wakuu wa Vituo vya
Magereza Tanzania Bara ambao pia ulihudhuriwa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi
hilo kutoka Makao Makuu, ulifanyika Bwalo Kuu la Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga,
jijini Dar es Salaam leo. Hata hivyo, Dkt Malewa katika hotuba yake alimshukuru
Rais John Magufuli kwa kutatua kwa kiasi kikubwa changamoto ya uhaba wa nyumba za
Makazi ya Askari wa Jeshi hilo pamoja na juhudi za Serikali yake za ununuzi
wa magari 450 kwa awamu ya kwanza ambapo
jeshi hilo linatarajia kuyapata. Katikati ni Naibu Kamishna wa Jeshi hilo, Edith
Mallya.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Maafisa
Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza naWakuu wa Vituo vya
Magereza yote Tanzania Bara katika Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga,
jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo,
Masauni aliwataka Maafisa wa Jeshi hilo, kuongeza kasi zaidi ya kuzalisha
katika kilimo, miradi ya ufugaji pamoja na vyanzo vingine ili kulilitea mapato
zaidi Jeshi hilo. Aidha, alisema kwa maafisa watakaozembea katika uzalishaji
wataondolewa katika nyadhifa zao.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia
waliokaa), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma
Malewa (wapili kushoto waliokaa), Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi hilo, Gaston
Sanga (kulia waliokaa), Naibu Kamishna wa Jeshi hilo, Edith Mallya (kushoto)
wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi hilo, mara baada ya Naibu
Waziri huyo, kuufungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi
hilo pamoja na Wakuu wa Vituo vya Magereza Tanzania Bara, uliofanyika Bwalo Kuu
la Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Suleiman Msuya
NAIBU Waziriwa Mambo ya
Ndani, MhandisiHamadYusuphMasauniamesemaSerikalihaitasitakuchukuahatuakwawakuuwamagerezanchiniambaowatashindwakutimizadhanayauzalishajimaliambayoniagizo
la Rais John Magufuli.
Aidha, Jeshi la
Magereza Tanzania
limetajachangamototanokuuambazozinakabilijeshihilohaliambayoinakwamishaufanisikatikamipangoyao.
Masuanialisemahayowakatiakizungumzakatikamkutanowawakuuwavituovyamagereza
Tanzania Bara unaofanyikakatikaBwalo la MagerezaUkongajijini Dar es Salaam.
NaibuWazirialisemaiwapowakuuwamagerezawatatumiawafungwawaliopouzalishajiutaongezekahivyokuondokananatabiayakulalamikaufinyuwabajeti.
Alisemapamojanavigezombalimbalivyakupimawakuuwamagerezakigezokinginekitakuwanikuangaliakasiyauzalishajikwaeneohusika.
Masauni alisema jeshi
la magereza lina rasilimali nyingi kama mashamba na viwanda hivyo wanapaswa kutumia
fursa iliyopo kuongeza uzalishaji na kuchochea uchumi wa viwanda.
“Napenda kuwa muwazi hatutavumilia
mkuu yeyote wa gereza ambaye atashindwa kuzalisha na kuendeleza fursa ambazo zinamzunguka
kwani Tanzania ya viwanda itafanikiwa kupitia vyombo vilivyopo katika wizara yetu,”
alisema.
Naibu waziri alisema anaamini
kupitia jeshi hilo ajiraz itaongezeka, uchumi utakuwa na maendeleo ya nchi yatapatikana
kwa haraka hivyo lengo la 2025 kukamilika.
Kwa upande wake Kamishna
Jenerali Magereza, Dk. Juma Malewa alisema jeshi hilo linakabiliwa na changamoto
mbalimbali kama ufinyu wabajeti, madeni ya watumishi, makaziduni, ukosefu wa posho
na vitendea kazi kama usafiri.
Alisema katika kutatua changamoto
ta usafiri wanatarajia kupokea magari 450 siku za karibuni katiya 905 ambayo wameahidiwa
na Serikali hali ambayo itaweza kutatua changamoto hiyo.
Dk. Malelwa alisema pia
wameanza kutatua changamoto ya makazi ambapo Rais Magufuli ametoa sh. bilioni
10 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 320 katikakambiyaUkonga.
Kamishna Jenerali Malelwa
alisema hadi sasa wamepokea sh. bilioni 5 ambazo zimeanza kutumika kujenga nyumba
hizo 320 zinazojengwanaWakalawaMajengonchini(TBA).
Alisema wao wamejipanga
kuhakikisha kuwa Tanzania ya viwanda inapatikana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali
hivyo utatuzi wa changamoto hizo utakuwa suluhu sahihi kwao.
“Tumedhamiria kuongeza uzalishaji
na kufufua viwanda mbalimbali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali lakini tunaomba
changamoto nilizo zitaja zitatuliwe kwa wakati,” alisema.
Akizungumzia dhana hiyo
ya viwanda Mkurugenzi waViwanda, Naibu Kamishna wa Magereza Edith Mallya alisema
utekelezaji wa agizo la Serikali umeanza katika baadhi ya viwanda kama MbigiriMorogoro
na Karanga.
0 comments:
Post a Comment