Na MZIDALFA ZAID(ARUSHA)
Ikiwa kesho inaadhimishwa siku ya upandaji miti kitaifa ambapo maadhimisho hayo yanadhimishwa kimkoa na kiwilaya wananchi mkoani rusha wametakiwa kushiliki zoezi hilo ili kuboresha mistu kwenye mazingira.
Akizungumzia siku hiyo afisa maliasili katika alimashauli ya meru Benadi saluni amesema kuwa kutakuwepo na vikundi zaidi ya 20 ambavyo vitakuwa vinaonyesha ujuzi wao nmna ya kutengeneza miche ya miti.
Hata hivyo amebainisha changamoto zinazowakabili idara ya mistu kuwa ni
wananchi kutojua umuhim wa kupanda mistu.
Kwa upande wake wakala wa mistu yusuph kajia wakala wa huduma za katika maadhimisho hayo wananchi wengi wamekuwa hawayatambui hivyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupanda mistu ikiwa ni pamoja na kupata elim ya umuhim wa mistu.
Maadhimisho ya upandaji miti huadhimishwa kila april mosi kila mwaka ambapo kila mkoa huadhimishwa maadhimisho hayo hivyo ni mda muafaka kwa wananchi
ktambua siku hiyo.
0 comments:
Post a Comment