Greda likisafisha eneo
ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akiwa na
viongozi kutoka Wizara ya Nishati na Madini walipotembelea sehemu
ambayo litajengwa gati mpya eneo la Chongoleani jijini Tanga kushushia
mafuta ghafi kulia ni Kaimu Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara
ya Nishati na Madini ,Mwanamani Kidaya kushoto ni Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga,Henry Arika |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akisisitiza
jambo wakati walipotembelea eneo la Chongoleani ambapo kutajengwa gati
ya kushushia mafuta ghafi |
|
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Mwanamani Kidaya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kulitembelea eneo hilo leo |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumzia namna mkoa huo
ulivyojipanga na fursa hiyo mara baada ya kulitembelea eneo
hilo |
|
Kaimu Meneja wa Bandari ya
Tanga,Henry Arika kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa tatu kutoka kushoto namna walivyojipanga
kutokana na fursa hiyo
|
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini,Mwanamani Kidaya kushoto akimuonyesha kiti Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella mara baada ya kutembelea eneo
hilo |
Muonekano wa eneo ambalo
kutajengwa gati mpya kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi
0 comments:
Post a Comment