Mwenyekiti anayemaliza
muda wake wachama cha mapinduzi mkoa wa ruvuma ODDO KILLINI MWISHO amesema
chama hicho katika mkoa wa ruvuma kimekubwa na ukabila kwa baadhi ya ujumbe wa
chama hicho,baada ya kuonekana baadhi ya wilaya zimekuwa na ukabila.hayo
ameyasema kabla ya uchaguzi mkuu wa chama hicho mkoa wa RUVUMA kufanyika leo
ukisimamiwa na waziri husseni mwishi ambaye pia mlezi katika mkoa huo, huku
naye akiomba ridhaa ya kurudi tena madarakani kuweza kukitumikia kwa miaka
mitano tena ijayo.
0 comments:
Post a Comment