Diwani viti maalum Manispaa ya iringa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Leah Mleleu akizungumza na akina mama wa Kata ya mwangata
Diwani viti maalum Manispaa ya iringa mjini Leah Mleleu Leo tar 17.7.2017
Amekutana na wakimama Wajasiliamali wa Kata ya Mwangata
Mh diwani Amekutana Wa kimama walionufaika na Mikono inayotolewa na halmshauli ya manispaa ili kujua maendeleo ya shughuli zao za ujasiliamali Pamoja na changamoto zao
Pili Mh diwani amekutana Pia na kina mama wajasiliamali Ambao hajajiunga kwenye vikundi na kuwaomba wajiunge kwenye vikundi ili waweze kunufaika na mikono inayotolewa na halmshauli 5% kwa ajili Ya wakina mama na vijana
Mlitupigania sisi chadema na sasa mmetupa halmshauli Nawaombeni Mchangamkia fursa kwa kuunda mikundi ili muweze kukopesheka,Sisi kama halmshauli tutatao mikopo bila kujali itikadi ya chama,dini wala rangi ya mtu zaidi
baadhi ya kina mama wajasiliamali walimshukuru mh diwani vitu maalum kwa kutenga muda wake na kukutana nao,Pamoja na kuweelimisha namna ya kunufaika mikopo ya kina mama inayotolewa na halmshauli,Kwa sababu walikuwa hawana uelewa wowote
Na kuhaudi endapo watafanikiwa kupata mikopo hiyo wataitumia kutokana na madhumuni yaliyowekwa kwa mjibu wa sheria na kanuni
Mh diwani aliongozana na Katibu Bavicha mkoa Jackson Mnyawami
Oscar Mgaya ni mratibu mhamasishaji bavicha manispaa
Kwa Pamoja walipongeza mh diwani viti maalum kwa kuwatembelea wakina mama Na halmshauli ya manispaa ya iringa kwa ujumla kwa kutoa mikopo kwa vijana na kina mama wajasiliamali
kwani kutasaidie wananchi kujikomboa na umasikini
Imetolewa na
Oscar Mgaya
Mratibu wa ziara
18.07,2017
0 comments:
Post a Comment